Burudani

ALIKIBA AJIPAMBANUA KUMFUNGA SAMATTA JUMAMOSI

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ (kushoto) akiwa na mcheza soka aliyeko Afrika Kusini,  Uhuru Selemani, wakiongea na wanahabari leo Uwanja wa Taifa, Dar.   MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba  ‘Alikiba’,  amemuonya mwanasoka  mshambuliaji wa klabu ya Ubelgiji ya  KRC Genk, Mbwana Samatta,  kwamba ataondoka uwanjani analia watakapokutana Jumamosi katika ...

Read More »

Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari

Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu waliofika kushuhudia ndoa yake.   Harry ni mtoto wa Prince Charles wa Uingereza ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia ...

Read More »

Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga ya muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanapishana kwa mwaka mmoja wa kuzaliwa – Ferre Gola alizaliwa Machi 3, 1976 ...

Read More »

Sokous Stars inavyochachafya

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli ya kuendesha maisha yake. Mfano wa karibu ni wanamuziki Lokassa ya Mbongo ambaye ni maarufu kwa kulicharaza gitaa la rhythm, ...

Read More »

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Read More »

Diamond Ampa Hongera AliKiba

Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh Kiba maarufu Alikiba kufuatia kufunga ndoa leo Aprili 19. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anampongeza King Kiba kwa kuoa na kumtakia maisha mema ya ndoa. “Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo…Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele…” ...

Read More »

Diamond, Nandy Bado hakijaeleweka

Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa ajili ya mahojiano kutokana na tuhuma za kusambaza katika mitandao ya kijamii video isiyokuwa na maadili. Msanii huyo anatuhumiwa kusambaza video inayomuonyesha akiwa katika faragha na mwanamke ambaye ni mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto. Siku ya Jumanne, Diamond alishikiliwa na Polisi Katika Kituo Kikuu ...

Read More »

Ongera King Kiba Kwa Kufunga Ndoa

  Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera. Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali. Kwa upande wake Rais wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanaye Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwetewametoa udhuru wa kutohudhuria sherehe ya harusi ...

Read More »

BASATA Yaingilia Kati Video Chafu ya Bilnasi na Nandy

Serikali imeanza mchakato wa kumchukulia hatua nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy baada ya kusambaa mtandaoni kwa video inayomuonesha akiwa na msanii mwenzake Bilnass katika faragha. Video hiyo iliyoanza kusambaa juzi katika mitandao ya kijamii, inawaonesha Nandy na Rapa Bilnass, wakiwa kitandani katika hali ya utupu. Mashabki na wadau wa muziki wamejitokeza kulaani kitendo hicho, wakisema kimevuka mipaka na ...

Read More »

Joseph Kabasele; Gwiji wa muziki asiyekata tama

Na Moshy Kiyungi Tabora. Pasipo kumtaja gwiji la muziki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabasele utakuwa hujakamilisha historia na maelezo ya muziki upaswavyo kusimulia. Nguli huyo atabaki kuwa baba na nyota kuu ilioleta maendeleo na mabadiliko kwenye muziki wa rumba nchini humo. Kabasele alizaliwa Desemba 16,1930 mjini Matadi huko DRC. Baba yake aliitwa Andre Tshimala na mama ...

Read More »

Mafanikio yoyote yana sababu (13)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kujiamini ni sababu ya mafanikio. “Kujiamini! Kujiamini! Kujiamini! Huo ni mtaji wako,” alisema John Wanamaker. Kujiamini ni raslimali yako. Safari kuelekea kwenye jiji la mafanikio inahitaji mafuta yanayoitwa kujiamini. Uwezekano wa kushinda unazidi hofu ya kushindwa. Jiaminishe na hilo. Kama hujavaa vazi la kujiamini hujavaa vizuri. Unapopoteza kujiamini, umepoteza kila kitu. Unapojiamini unaweza kupata kila kitu. ...

Read More »

Dekula Kahanga ‘Vumbi’: Mcongo anayemiliki bendi yake Sweden

Na Moshy Kiyungi Dekula Kahanga ni mwanamuziki aliyetokea nchini na kujikita katika jiji la Stockholm nchini Sweden. Ameweza kutafuta mafanikio hadi kuunda bendi yake anayojulikana kama Dekula band. Kabla ya kwenda nchini humo, Kahanga alikuwa mpigaji wa gitaa la solo katika bendi ya Maquis Original, iliyokuwa ikipiga muziki wake katika ukumbi wa Lang’ata,  Kinondoni jijini Dar es Salaam katika kipindi ...

Read More »

ERIC OMONDI AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA UTUPU

Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki kutoka Kenya Eric Omondi amejipata taabani kutokana na video yake iliyosambaa mtandaoni ambapo anaonekana akicheza na watoto mtoni, wote wakiwa utupu. Video hiyo ambayo inadaiwa kupigiwa katika mto mmoja eneo la Lodwar katika jimbo la Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya. Video hiyo imeibua hisia kali mtandaoni, baadhi wakimshutumu vikali na wengine wakimuunga mkono. Bw Omondi ameandika ...

Read More »

SHILOLE AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 14 NDANI YA WIKI MOJA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Machi 1, 2018, imethibitika kuwa Shilole alipatiwa kiasi cha fedha Tsh. Milioni tatu kutoka kwa ...

Read More »

WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki tunampa adhabu, kwa mujibu wa katiba na kanuni ambazo zinatuongoza sisi. kwa hiyo tunamfungia kwa miezi sita. Ndani ya hiyo ...

Read More »

Oliver Mtukudzi mwanamuziki mkongwe Afrika

Na Moshy Kiyungi Oliver Mtukudzi ni mwanamuziki mkongwe, anayevuma sana hata nje ya mipaka ya nchi yake ya Zimbabwe. Nyimbo zake zinazohamasisha amani na kutoa burudani barani Afrika, zimesababisha yeye kutumika kama alama katika taifa hilo hususan kwa upande wa sanaa ya nchini mwake. Wasifu wa Oliver ‘Tuku’ Mtukudzi unaeleza kuwa alizaliwa Septemba 22, 1952 mjini Highfield, Harare. Ni mwanamuziki ...

Read More »

Wastara Kurejea Nchini Kesho Alhamisi, Hali yake Safi

Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na anatarajiwa kurejea Bongo kesho Alhamisi, Machi 1, 2018. Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na Watanzania kwa ujumla wao wajitokeze kumpokea Wastara kesho Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.   TAARIFA KWA ...

Read More »

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudiana na mzazi mwenzake Diamond Platinumz. Zari aliyasema hayo, alipokuwa akifanya mahojiano na shirika la Utangazaji cha Uingereza (BBC),  na kuongeza kuwa uamuzi alioufanya haukuwa wa kukurupuka na alifikiria kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi huo. “Nilikaa muda mrefu nikafikiria vitu vingi ndipo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons