Category: Kimataifa
Putin: Niko tayari kukutana na Zelensky mjini Moscow
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky mjini Moscow. Pia ameapa kuendelea kupigana na Ukraine kama makubaliano ya amani hayatofikiwa. Pia Putin ameapa kuendelea kupigana na Ukraine kama makubaliano ya amani hayatofikiwa….
Trump: Marekani huenda ikafuta makubaliano na Ulaya
Rais Donald Trump amesema Marekani huenda ikalazimika kufuta makubaliano ya kibiashara iliyoingia na Umoja wa Ulaya, Japan, Korea Kusini na wengine, iwapo itashindwa katika kesi yake kuhusu uhalali wa ushuru. Akizungumza na waandishi wa habari mwanzoni mwa mkutano na Rais…
Wapiganaji kundi la PKK wakabidhi silaha nchini Iraq
Katika tukio lililoshuhudiwa na vyombo mbalimbali vya habari, zaidi ya wapiganaji 30 wa kundi la PKK wamekabidhi silaha zao rasmi nchini Iraq. Hatua hii imekuja kama sehemu ya makubaliano ya kupunguza vita na vurugu katika eneo la Kurdistan na kuimarisha…
China yaadhimisha miaka 80 ya ushindi kwa gwaride la kijeshi
China imefanya gwaride kubwa la kijeshi katika uwanja wa Tiananmen jijini Beijing kuadhimisha miaka 80 tangu kushindwa kwa Japan mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Gwaride hilo limetasfiriwa na wachambuzi kama ishara ya mabadiliko ya nguvu za kisiasa,…
Kijiji kizima chafukiwa na maporomoko Sudan, watu zaidi ya 1,000 wafariki
Jimbo la Darfur limekumbwa na janga kubwa la maporomoko ya ardhi ambapo kijiji kizima cha Tarasin kilichoko katika milima ya Jebel Marra kimesombwa kabisa na kusababisha vifo vya takriban watu 1,000. Mamlaka za ndani nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na…
Watu 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan
Katika tukio la kusikitisha lililotokea magharibi mwa Sudan, takriban watu 1,000 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la milima ya Marra huku mtu mmoja pekee akinusurika. Takriban watu 1,000 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la…