Watu 85 wauwawa kufuatia mapigano makali Sudan

Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika hilo Claire Nicolet, amesema siku ya Jumatatu pekee majeruhi tisa kati ya 60 waliopokewa katika…

Read More