
Jeshi lapindua madaraka Gabon
Maafisa wa jeshi wameonekana kwenye televisheni ya taifa nchini Gabon wakisema wamechukua mamlaka. Walisema wanafuta matokeo ya uchaguzi wa Jumamosi, ambapo Rais Ali Bongo alitangazwa mshindi. Tume ya uchaguzi ilisema Bongo alishinda chini ya thuluthi mbili tu ya kura katika uchaguzi ambao upinzani ulidai kuwa ulikuwa wa udanganyifu. Kupinduliwa kwake kutakomesha familia yake iliyodumu kwa…