Category: Kimataifa
Ufaransa kuitambua Palestina kama taifa huru
Ufaransa na Saudi Arabia zitaongoza mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili ambayo yalikuwa yamekwama kwa muda mrefu. Mkutano huo unafanyika mjini New…
Riek Machar afikishwa mahakamani Sudan Kusini
Kiongozi wa upinzani aliyewahi uwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefikishwa mahakamani Jumatatu 22.09.2025. Machar anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhaini. Makamu huyo wa zamani wa Rais Anatuhumiwa pia kwa kuamuru mashambulizi…
Urusi, Ukraine zashambuliana usiku kucha
Ukraine na Urusi zimetupiana lawama baada ya mashambulizi makali kati ya pande hizo mbili usiku wa kuamkia Jumatatu. Mkuu wa eneo la Crimea lililo chini ya Urusi Sergey Aksyonov amesema watu watatu wameuawa na wengine 16 wamejeruhiwa kutokana na mashambulizi…
Kim Jong Un: Korea Kaskazini haikwepi mazungumzo na Trump
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia. Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bunge Jumapili 21.09.2025, Kim alisisitiza kuwa kamwe hatoachana na silaha…
Jeshi la Israel lapeleka divisheni ya 36 Gaza
Jeshi la Israel, IDF limepeleka divisheni yake ya 36 Gaza City, ambayo ni ya tatu, kama sehemu ya mashambulizi yake ya ardhini dhidi ya wanamgambo wa Hamas. Awali divisheni hiyo inayojulikana pia kama Ga’ash ilifanya operesheni kusini mwa Gaza ikiwemo…
Vifaru vya Israel vyaingia katika eneo kubwa la makazi la Gaza
Wakazi wa eneo la Gaza na mashuhuda wanasema makumi ya vifaru na magari ya kijeshi ya Israel yameingia katika wilaya kubwa ya makazi ya mji wa Gaza, katika siku ya pili ya mashambulizi ya ardhini ya Israel yenye lengo la…