Category: Kimataifa
Wanajeshi DRC wadungua ndege ya misaada ya kibinadamu Kivu ya kusini
Wanajeshi wa DRC wamedungua ndege ya kusafirisha misaada ya kibinadam katika Mkoa wa Kivu ya Kusini Ndege hiyo inaripotiwa kuwa ilikuwa ikielekea eneo la Minembwe kusafirisha dawa na chakula kwawaadhiriwa wa vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC. Vugu vugu la AFC…
Zaidi ya watu milioni 14 wanaweza kufa kwa kukosa misaada
ZAIDI ya watu milioni 14 wanaoishi kwenye mazingira magumu zaidi duniani huenda wakafariki baada ya utawala wa Rais Donald Trump kupunguza misaada. Utafiti uliochapishwa leo na Jarida la tiba la Lancet unakadiria kuwa miongoni mwa watu hao, theluthi moja ni…
Iran yamesema haina imani na usitishwaji vita wa Israel
IRAN imesema siku ya Jumapili kwamba haina haina imani hata kidogo na hatua ya Israel ya kujitolea kusitisha mapigano na kuhitimisha makabiliano makali yaliyosababisha uharibifu kati ya maadui hao wawili. Mkuu wa majeshi ya Iran Abdolrahim Mousavi alinukuliwa na televisheni…
16 wafariki katika maandamano ya kupinga Serikali yafikia Kenya
Watu kumi na sita walifariki dunia wakati wa maandamano ya kupinga serikali nchini Kenya Amnesty International imesema. Maandamano hayo yalikuwa kumbukumbu ya mwaka mmoja kwa waliofariki wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha 2024 ambapo baadaye walivamia bunge. Ikiwa…
Nchi za NATO kuongeza bajeti kwa ajili ya ulinzi
VIONGOZI wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kijeshi ya NATO wameidhinisha rasmi ongezeko la asilimia tano ya Pato la Taifa kwa ajili ya matumizi ya ulinzi kwenye mkutano wao wa kilele uliofanyika mjini The Hague, Uholanzi. Nchi wanachama wa jumuiya…
Gen-Z Kenya waandamana kuwakumbuka wenzao 60 waliouawa 2024
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mikuu nchini Kenya kukumbuka tukio la Juni 25 mwaka uliopita ambapo wenzao 60 waliuawa na Polisi wakati wa maandamano ya kuupinga Mswada wa Fedha mwaka 2024. Hata hivyo Polisi walilazimika kutumia mabomu ya kutoa…