MCHANGANYIKO
Wachimbaji wadogo wa madini wamburuza mahakamani rais wa wachimbaji FEMATA
Na Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliokuwa wakiendesha shughuli zao za uchimbaji kwenye mgodi uliopo kijiji cha Imalamate Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wameamua kumfungulia mashitaka rais wa Chama cha Wachimbaji wa madini Tanzania (FEMATA), John Bina kwa kushindwa kuwalipa fidia ya maduara yao baada ya kufukiwa kwenye mgodi anaoumiliki. Wakizungumza…
BRELLA kutoa mafunzo kwa Burundi, Sudan Kusini utoaji huduma kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu kwa wawakilishi kutoka nchi za Burundi na Sudan Kusini juu ya utoaji wa huduma za urasimishaji wa biashara kwa njia ya mtandao katika Ofisi za taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Idara ya…
Waandishi wa habari wawili wafariki kwa ajali Rufiji
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Pwani Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Lindi wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongwa na gari aina ya Canter. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Protas Mutayoba, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Nyamwage wilayani Rufiji mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo….
Ubomoaji nyumba bonde la Msimbazi kuanza Aprili 12, nyumba 2,155 kuathirika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubomoaji nyumba zilizofidiwa katika Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi unatarajiwa kuanza Aprili 12, 2024, na litawahusu waathirika 2,155 ambao tayari wamelipwa fidia. ambaye ni Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano na Benki ya Dunia TARURA amesema kwa mujibu wa makubaliano ya utekelezaji wa zoezi hilo, waathirika wa…
DAWASA yaendelea utoaji vifaa vya maunganisho Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi kwa wakazi wote wa maeneo ya Kiharaka, Kiembeni, Changuaela, Kerege, Kibosha, Mtambani na Kimele. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Machi 25, 2024…