JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

Benki ya Dunia yaeleza imani kwa mustakabali wa Tanzania na ajenda ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Tarehe 18 Mei, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimpokea Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayemaliza muda wake, Bw. Nathan Belete, aliyefika kumuaga Mheshimiwa Rais na kumtambulisha…

Kituo cha umeme Ifakara chachochea maendeleo Kilombero

📌Kimetekelezwa na REA kwa gharama ya Tsh. Bilioni 25 📌DC Kilombero aipongeza REA, atoa wito kwa wawekezaji 📌Kimeimarisha upatikanaji wa umeme Ukanda wa Morogoro Kusini Ifakara, Kilombero Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetumia shilingi bilioni 25 kujenga Kituo…

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya, 45 waenda Ulaya

Na OWM-KAM, Dar es Salaam Serikali imeendelea kufungua na kuimarisha njia salama za uhamiaji wa nguvu kazi kwa kushirikiana na nchi rafiki pamoja na taasisi za kikanda na kimataifa, ikiwa ni juhudi za kuhakikisha Watanzania wanapata ajira zenye staha, kulindwa…

Mhandisi Mativila akagua miradi ya DMDP II, atoa wito utunzaji wa miundombinu

📌TARURA kujenga takribani Km. 250 za barabara Manispaa zote za Dar es Salaam‎‎Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam‎‎Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amesema Serikali…

Salome : Umeme wa gridi Kigoma umeokoa bilioni 58 za mafuta na matengenezo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kusimamia na kukamilisha mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma na hivyo kuokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila…

Magari ya umeme nafuu kwa asilimia 85 ukilinganisha na ya mafuta

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema utafiti unaonesha kuwa kuendesha gari la umeme nchini ni nafuu kwa takribani asilimia 85 kwa kila kilomita ikilinganishwa na gari linalotumia petroli au dizeli….