Archives for Habari za Kitaifa - Page 303

JAMHURI yaisafisha TTCL

Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), imemng’oa katika madaraka Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Said Amir, na kuwasimamisha kazi maofisa wengine watatu waandamizi ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za ufisadi zinazowakabili. Kwa wiki kadhaa, JAMHURI imeandika kwa kina…
Soma zaidi...

NICOL yamsafisha Mengi

Kampuni ya Taifa ya Uwekezaji (NICOL), imemsafisha mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuhusu tuhuma za kuidhoofisha kampuni hiyo. Mwenyekiti mpya wa Bodi ya NICOL, Gideon Kaunda na mmoja wa waanzilishi wa kampuni…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons