Barua ya elimu kwa Rais Magufuli – 2

Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii ndugu Kalisti Mjuni, alizungumzia umuhimu na mbinu bora za kuandaa walimu. Katika sehemu ya pili, leo Mjuni anazungumzia mahitaji ya msingi kwa utoaji wa elimu bora. Endelea… Mazingira bora. Ili kazi yoyote iweze kufanyika kwa ufanisi, hatuna budi kuweka vizuri mazingira ya kufanyia kazi hiyo, hali kadhalika, ili tuweze…

Read More

Mabilioni yatafunwa NIP

Mradi wa uendelezaji viwanja viwili vilivyoko Mtaa wa Ohio (Plot 775/39 na 776/39) vya Shirika la Tija la Taifa (NIP), unaonekana kuwa ni ‘hewa’ kutokana na kutokamilishwa kwa mujibu wa makubaliano ya wabia wawili waliojitokeza kuendeleza viwanja hivyo kwa nyakati tofauti. Ujenzi wa mradi huo ulilenga kujenga ghorofa 35 ambazo ujenzi wake ungegharimu kiasi cha…

Read More

Takukuru wachunguza Saccos Moshi

Ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6 katika Chama Cha Akiba na Mikopo (Wazalendo Saccos) mkoani Kilimanjaro, umeendelea kuibua mapya kwa utoaji wa mikopo kwa watu ambao si wanachama wakiwamo marehemu. Wizi wa fedha zilizokopwa kutoka taasisi mbalimbali za fedha ulihusisha fedha taslimu na kuwalipa watu ambao hawakuwa wanachama wa chama hicho, na kukiuka taratibu za…

Read More

Waliotafuna Sh bilioni 6 watamba mitaani Moshi

Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini, Dk. Audax Rutabanzibwa, kwa miaka mitano sasa, ama ameshindwa, au amepuuza kuandaa mashitaka dhidi ya viongozi wa Chama cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Wazalendo cha mjini Moshi wanaotuhumiwa kuiba Sh bilioni 6. Miongoni mwa watuhumiwa wa utafunaji fedha hizo ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi…

Read More

Kanisa la Wasabato linapodhulumu …

Mimi Baraka Mukundi, mkazi wa Arusha niliajiriwa na Kanisa la Wasabato Makao Makuu Arusha, Tanzania mwaka 1986. Niliendelea kufanya kazi na kanisa hilo katika vitengo vyake mbalimbali kwa kadri walivyokuwa wakinipangia kazi kulingana na taratibu za Kanisa za ajira. Kipindi cha mwaka 1999 nilihamishiwa katika kiwanda kilichokuwa kinamiikiwa na kanisa, kilichojulikana kama INTERNATIONAL HEALTH FOODS…

Read More

Katibu Mkuu asalimu amri

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mpoki Ulisubisya, hatimaye amesalimu amri na kurejesha gari, mali ya Serikali alilojimilikisha akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa, Kanda ya Mbeya. Gari hilo – Toyota Land Cruiser VX V8 – lenye namba STK 8299, ni mali ya Hospitali ya Rufaa…

Read More