JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imefanikiwa kuingiza timu nne katika fainali ya mashindano ya SHIMMUTA yanayoendelea jijini Tanga. Timu ya Netball imeingia fainali baada ya kuifunga TRA jumla ya magoli 48 – 43 katika…

Simba yazidi kujikita kileleni

Wekundu wa Msimbazi Simba imeibuka na ushindi 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao la Simba limefungwa na Leonel Ateba kwa penalti dakika ya 22…

Man City watenga mabilioni ya kumbakisha Haaland

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City, baada ya kufanikiwa kumbakiza kocha wao Pep Guardiaola kwa msimu mmoja zaidi, Sasa wana nia ya kumbakiza mshambuliaji wao Erling Haaland (24), kwa misimu mingine mitano. Manchester City wamempa ofa ya…

Msimu wa sita wa Tamasha la Ladies First lazinduliwa Dar

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujio wa msimu wa sita wa Tamasha la michezo la Ladies First umetambulishwa jana jijini Dar es Salaam. Tamasha la Ladies First ni tukio la kimichezo lilioanzishwa kwa lengo la kuimarisha ushiriki wa…

Simba wazindua uzi mpya wa kimataifa

Na Isri Mohamed Klabu ya Simba leo Novemba 20, 2024 imezindua rasmi jezi mpya watakazotumia kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki ambayo ni kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC) Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo iliyofanyika Katika duka…

Timu ya waogeleaji safarini kuelekea Burundi

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya waogeleaji imeanza safari leo Novemba 20 kuelekea nchini Burundi kushiriki mashindano Cana kanda ya tatu ya mwaka huu 2024( Cana zone 3 2024). Kikosi hicho kimesafiri kikiwa tayari kushiriki…