Hii Hapa Ratiba ya Kombe la FA, Liverpool Uso kwa Uso na Everton

Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton, huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.

Manchester City wataanzia nyumbani katika uwanja wao wa Etihad, kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County.

Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon

Ratiba ya michezo mingine ya raundi ya tatu ya kombe la Fa.

Birmingham City v Burton Albion

Brighton & Hove Albion v Crystal Palace

Coventry City v Stoke City

Bolton Wanderers v Huddersfield Town

Queens Park Rangers v MK Dons

Middlesbrough v Sunderland

Fleetwood or Hereford v Leicester City

Blackburn Rovers or Crewe Alexandra v Hull City

Cardiff City v Mansfield Town

Shrewsbury Town v West Ham United

Wolverhampton Wanderers v Swansea City

Newcastle United v Luton Town

Fulham v Southampton