Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akishauriana jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally wakati wa kikao hicho
 Katibu wa UVCCM Kata ya Msigani Reinhard Chicano akisalimia baada ya kutambulishwa
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msigani Godlove Mondo akifungua kikao hicho
 Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ubungo Mbarouk Masoud akifanya utambulisho wa viongozi waliofuatana na Mwenyekiti Mgonja kwenye kikao hicho
 Wajumbe kwenye kikao hicho wakishangilia jambo kuliunga mkono.
 Diwani wa CCM Kata ya Manzese Manumbu Magafu akisalimia katika kikao hicho
 Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa, akiimba wimbo wa hamasa alipopewa nafasi ya kusalimia
 Wajumbe wakiwa wamesimama kuimba wimbo huo 
 Mbunge wa Mbinga Vijijini ambaye pia ni Mweneyekiti wa Mtaa wa Msingwa Kata ya Msigani Martin Msuha akisalimia
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na kamati ya Siasa mkoa wa Dar es Salaam Issa Mtemvu akisalimia kwenye kikao hicho  katibu wa CCM wilaya ya Ubungo Salum Kally akiimbisha wimbo wa hamasa kwenye kikao hicho
 Viongozi wa meza kuu wakishiriki kuimba wimbo huo wa hamasa. 
 Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo akihutubia kikao hicho kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti Mgonja kuhutubia.Mgonja akihutubia.
 Mgonja akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa Chadema Gatto John, ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho
 Mgonja akimpa kadi ya CCM
 Gatto akionyesha kadi ya CCM baada ya kukabiodhiwa
 Mgonja akimpokea kadi kutoka kwa aliyekuwa katibu Mwenezi wa Chadema Kata ya msigani Kerned Odera baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho
Mgonja akimpokea kadi kutoka kwa aliyekuwa katibu Mwekiti wa Chadema Tawi la Msigani Benedict Mumbi baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho
 Waliokuwa wanachama wa Chadema wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi za CCM
 Kinamama wajasiriamali wakishangilia wakati wakipeleka zawadi na kujinadi kwa viongozi wa meza kuu kuhusu shughuli zao 
 Kiongozi wa Kinamama hao akitoa maelezo
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akikabidhiwa zawadi kutoka kwa Kinamama hao wajasiriamali
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akitazama bidhaa za kinamama wajasiriamali waliozkuwa wakionyesha nje ya ukumbi
 Mgonja akinunua bidhaa kwa kinamama hao wajasiriamali
 Mwenyekiti wa CCM Lucas Mgonja akiwa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mbezi Othman Shaibu baada ya kuwasili katika kata hiyo kuendelea na ziara yake. 
 Wajumbe wakiwa wamesheheni ukumbini kwenye mkutano huo wa Kata ya Mbezi
 Wakiomba dua kabla ya kikao kuanza
 Baadhi ya vijana wa CCM waliofika kwenye kikao hicho Mbezi
 Baadhi ya vijana waliofika kwenye kikao hicho wakiwa nje ya ukumbi kwa kuwa siyo wajumbe.
 Vijana wakipata chakula nje ya ukumbi
 Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Salum Kally akimkaribisha Mwenyekiti kuzungumza kwenye kikao hicho cha kata ya Mbezi 
 Baadhi ya wajumbe ukumbini 
Mwenyekiyi wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akihutubia wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika Kata ya Mbezi Wilayani humo jana.

By Jamhuri