Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto) akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Kaskazini ndg:Justine Monko (kulia) wakati wa mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Singida Vijijini  Bi Grace Shindika Akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida

Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (katikati) akizungumza na Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini ndg: Justine Monko (kwanza kushoto) pampoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Ndg:Juma Kilimba.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe: Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida mhe: Martha Mlata  akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ndg Juma Kilimba akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kumnadi Mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida

 Viongozi wakifurahia jambo
Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Ndg Justine Monko akijinadi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida

By Jamhuri