“Namhakikisha ndugu yangu, watu wote wa Malawi kwamba hatuna nia wala mpango wa kuingia vitani. Hatuna matayarisho ya Jeshi wala jeshi halijasogea popote… mimi ndiye kamanda mkuu wa jeshi na sijapanga wala kutoa maelekezo ya vita.”

 

Haya ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyasema mwishoni mwa wiki mjini Maputo, Msumbiji wakati akifanya mkutano wa pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

 

Putin: Fanya kazi

“Milele tusitegemee maajabu kwa maendeleo yetu. Tufanye kazi.”

 

Haya ni maneno ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akiwataka wananchi wake kufanya kazi bila kusubiri maajabu kwa ajili ya maendeleo yao.

1265 Total Views 4 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!