Watu zaidi 30 wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino.

Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa.

Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo ya mpunga na mahindi.

794 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!