Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua nyasi zilizooteshwa kitalaam wakati alipshiriki katika ujenzi wa msingi wa jukwaa kuu la uwanja wa michezo unaojengwa kwenye eneo la Dodoma katika mai mdogo wa Ruangwa, Mei 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba tofali, Bibi Mariam Bakari wakati aliposhiriki katika ujenzi wa wa msingi wa uwanaja wa michezo unaojengwa na wananchi kwenye eneo la Dodoma katika mji mdogo wa Rungwa mkoani Lindi, Mei 25, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na wanne kushoto ni Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba tofari Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala wakati aliposhiriki katika ujenzi wa msingi wa jukwaa kuu la uwanja wa michezo unaojengwa na wananchi katika eneo la Dodoma kwenye mji mdogo wa Ruangwa,Mei 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika ujenzi wa msingi wa jukwaa kuu la uwanja wa michezo unaojengwa kwenye eneo la Dodoma katika mji mdogo wa Ruangwa mkaoani Lindi Mei 25, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa, Mei 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1331 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!