Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali.

Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote nane.

1424 Total Views 1 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons