MCHEZA TENISI, MUGURUZA ATINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA DUBAI

Garbine Muguruza

Mchezaji Tenisi Garbine Muguruza amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dubai baada ya kumshinda Caroline Garcia katika mchezo wa wa pili war obo fainali na kutinga Nusu fainali ya Dubai. Muguruza alifuzu hatua robo fainali baada ya kupata ushindi wa seti 7,5 6,2 dhidi ya mfaransa Wozniacki .

Naye Bingwa wa zamani wa Gland slam kutoka Ujerumani Angelique Kerber siku ya ijumaa atacheza dhidi ya Elina Svitolina katika mchezo wa mwisho wa nusu fainali .

Bingwa wa Grand Slam Muguruza amesema anamatumaini ya kufanya vizuri katika mchezo wake na baada ya kupoteza mchezo wake dhidi ya Petra Kvitova .

699 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons