Ratiba ya mechi 11 za Yanga zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini.

Yanga SC vs Stand United
Yanga SC vs Coastal Union
Yanga SC vs Singida United
JKT Tanzania vs Yanga SC
Simba SC vs Yanga SC
Yanga SC vs Mbao FC
Yanga SC vs Alliance FC
KMC FC vs Yanga SC
Yanga SC vs Lipuli FC
Yanga SC vs Ndanda FC
African Lyon vs Yanga SC

2849 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!