Mhariri,

Kero yangu ni kwamba ninapinga Barua ya Wasomaji iliyochapishwa kwenye gazeti hili wiki iliyopita. Barua ile imejaa uongo, unafiki na uzandiki. Waislamu wa leo si wa kupelekeshwa na media propaganda.

Tunaelewa vizuri mwandishi yule si Mwislamu na uandishi wake umejaa chuki, dharau na kejeli.

 

Tambueni kuwa Waislamu si watu wa kuelekezwa na watu wanaojivuna wamesoma lakini hawajaelimika, ndiyo maana Taifa letu limedumaa kimaendeleo na ni la mwisho kiufanisi na kielimu katika Afrika Mashariki.

 

Kukuthibitishia kuwa wanaojigamba kuwa ni wasomi hawajaelimika; jiulize wenye Phd wameifikisha wapi nchi hii? Na nishauri kuwa mambo ya Waislamu waachiwe Waislamu wenyewe.

 

I notice what you are trying to publish is Islam phobia. Islam has nothing to do with CCM, Chadema, Bakwata or whatever. Get to know Islam will dominate the world, insha’allah very soon and you will realize the truth. Take care.

 

0656 999 908

 

1068 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!