JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Samia : Serikali imefanya mageuzi makubwa ya kisheria na kurejesha imani kwa sekta binafsi

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake imefanikiwa kufanya mageuzi makubwa ya kisheria na kimfumo yaliyolenga kujenga mazingira bora ya biashara na kurejesha imani…

Serikali yaihakikishia CWP uchaguzi huru, haki na wazi

Serikali imeihakikishia Timu ya Waangalizi ya Uchaguzi ya Wabunge-Wanawake kutoka Jumuiya ya Madola (CWP) kuwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025 utakuwa huru, haki na wazi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo…

‘Dk Samia anastahili kura za ndio’

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ali, amesema kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anastahili kupigiwa kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho Oktoba 29, 2025,…

Siku 100 za Bima ya Afya kwa wote

* Kila Mtanzania sasa kupata huduma bora za afya bila ubaguzi *Serikali, TIRA kuhakikisha bima hii inakuwa endelevu kwa wote *Mkakati ni kuona afya za wananchi zinakuwa bora, uchumi unakua *TIRA wazindua jengo lao la makao makuu Ndejengwa jijini Dodoma Na…

Wasira asema Samia ameweka utaratibu Serikali,vyama vya siasa kuteta

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameweka utaratibu mzuri wa Serikali na vyama vya siasa kusikilizana. Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi wakati wa kuhitimisha mkutano wa…