Latest Posts
TCAA yaimarisha huduma kwa wateja kupitia Dawati Maalum
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kupitia kwa Mkurugenzi wake Mkuu Dkt. Jabiri Bakari imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma kwa wateja kupitia Dawati maalum la Huduma kwa Wateja, likiwa na lengo la…
Nchi za Afrika zakutana Arusha kuimarisha mifumo ya tahadhari za mapema kukabiliana na El Nino 2026
Mkutano wa kikanda unaolenga kuimarisha mifumo ya tahadhari za mapema na huduma za hali ya hewa kwa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika umefunguliwa rasmi leo tarehe 13 Julai 2026 jijini Arusha. Mkutano huu unawakutanisha wataalamu wa hali ya hewa…
Mwenge watembelea miradi saba Simanjiro ya bilioni 57.2/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simanjiro MWENGE wa uhuru umetembelea, kukagua, kuzindua na kuweka jiwe la msingi katika miradi saba ya maendeleo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara yenye thamani ya shilingi bilioni 57.2. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mwalimu Fakii Raphael Lulandala…
CHADEMA kuna mahali mmeteleza
NA JOE BEDA RUPIA “Utakitoaje kibanzi ndani ya jicho la mwenzako nawe lako lina boriti ndani yake?” Swali la Yesu Kristo ndani ya Biblia. Linafikirisha sana. Linatafakarisha pia. Hili nimelifikiria wiki hii kutokana na hali inayoendelea ndani ya chama kikuu…
Waliyofanya CCM, ACT Z’bar, CHADEMA yanawahusu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Zanzibar Naandika makala hii muda mfupi baada ya kutoka kwenye viwanja vya Ikulu, Zanzibar, ambako yamefanyika maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo. Maridhiano haya yamefungua ukurasa mpya kiasi kwamba Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman…
Kapinga amkabidhi mlemavu mashine ya kusaga viungo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amemkabidhi mfanyabiashara mwenye ulemavu, Bi.Esther Mashaka Msengi, mashine ya kusagia viungo ili kuongeza uzalishaji, kupunguza gharama za biashara na kuboresha kipato chake. Akikabidhi mashine hiyo katika Viwanja vya Maonyesho ya Biashara…





