Wananchi wajiandaa kuvamia eneo TFS

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Wananchi zaidi ya 2,000 wa Kijiji cha Nyeburu, Kata ya Chanika, wanajiandaa kuvamia upya eneo lililomegwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ili kuendeleza shughuli zao za kila siku, kwa madai serikali imeshindwa kutatua mgogoro wa mpaka kati yao na hifadhi ya Msitu wa Kazimzumbwi. Wakizungumza na JAMHURI hivi karibuni…

Read More

UPUUZI HUU NI WA BASATA AU LATRA?

Na Joe Beda Rupia Jamhuri Media Hii ni aibu. Aibu kubwa kweli kweli! Kwa hakika ni ujinga unaoachwa kuendelea bila kukemewa. Matokeo yake tunabaki kujificha kwa kufumba macho. Hivi, unaweza kujificha kwa kufumba macho? Nao huu ni ujinga mwingine. Lakini ndivyo tunavyofanya mara kwa mara. Tunajificha kwa kufumba macho. Bahati nzuri macho yanafumbika. Bahati mbaya…

Read More