Ubomoaji nyumba bonde la Msimbazi kuanza Aprili 12, nyumba 2,155 kuathirika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubomoaji nyumba zilizofidiwa katika Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi unatarajiwa kuanza Aprili 12, 2024, na litawahusu waathirika 2,155 ambao tayari wamelipwa fidia. ambaye ni Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano na Benki ya Dunia TARURA amesema kwa mujibu wa makubaliano ya utekelezaji wa zoezi hilo, waathirika wa…

Read More

Tanzania yapandishwa uwezo wake wa kukopa kimataifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepandishwa kwenye orodha ya kimataifa ya viwango vya nchi vya kukopa kutokana na kuimarika kwa uchumi wake ndani ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kukadiria uwezo wa mataifa wa kuchukua mikopo liitwalo Moody’s. Sababu kubwa iliyotajwa kwa Tanzania…

Read More

Serikali yazindua Mpango Mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa amezindua Mpango mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma huku akitoa maagizo mbalimbali ikiwemo kuwataka Wakuu wa Wilaya nchini kuhakikisha wanawafuatilia Wanafunzi ambao hawajaripoti Shuleni kwa Mwaka huu wa masomo Pamoja na Kufuatilia suala la michango isiyoyalazima. Majaliwa ametoa maagizo hayo…

Read More