Latest Posts
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa John Tendwa afariki Dunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyewahhi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Bill Tendwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema marehemu Tendwa amefariki leo Desemba 17,…
Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza haya hapa
Serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Serikali nchini mwaka wa masomo 2025. ANGALIA MAJINA CHINI https://mabumbe.com/tamisemi-form-one-selection/#:~:text=Waliochaguliwa%20kidato%20cha%20kwanza%202025%20Dar%20Es%20Salaam
Trump aahidi tena kumaliza “mauaji” ya vita vya Ukraine
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema atafanya mazungumzo na viongozi wa Ukraine na Urusi kumaliza alichokitaja kuwa “umwagaji damu usiomithilika” kutokana na vita vya karibu miaka mitatu baina ya nchi hizo mbili. Akizungumza kwa mara ya kwanza na waandishi…
Wawili wauawa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi Marekani
Mwanafunzi mmoja amefyatua risasi katika shule ya binafsi ya Kikristo katika Jimbo la Wisconsin Marekani, na kujeruhi watu sita na kumuua mwalimu na mwanafunzi. Mkuu wa Polisi wa Madison Shon Barnes alimtaja mshambuliaji huyo kuwa mwanafunzi wa kike mwenye umri…
KCMC yapokea bilioni nne kuboresha huduma za saratani
Na WAF, Kilimanjaro Serikali imetoa Shilingi Bilioni Nne (4) kati ya Bilioni 5.2 zinazotarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa kitengo cha kisasa cha tiba ya mionzi kwa ajili ya saratani kwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). …
Miaka mitatu ya Rais Samia na mafanikio ya Wizara ya Afya katika utoaji huduma
Katika kipindi cha Miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sekta ya afya imepatiwa kiasi cha Shilingi Trilion 6.722 kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele mbalimbali ili kuimarisha huduma za afya…





