JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

GP Wambura akabidhiwa uenyekiti wa SARPCCO

 Matukio mbalimbali pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura akikabidhiwa uenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za  Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Zambia IGP Graphel…

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mbaroni tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa chuo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Esmail Nawanda (46) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha jiji Mwanza. Ambapo tukio hilo lilitokea mnamo Juni 02,2024 majira…

Rais Tinubu wa Nigeria aanguka katika hafla ya kitaifa

Rais, 72, alianguka alipokuwa akipanda ngazi kwenye gari ambalo lilipaswa kumpeleka karibu na Bustani ya Eagle Square katika mji mkuu, Abuja. Ilibidi asaidiwe kusimama. Mmoja wa wasaidizi wake alielezea kama “hatua mbaya” na akasema rais ameweza kuendelea na programu iliyobaki….

Mafanikio miradi ya kusafirisha umeme yatajwa kutoka bajeti Kuu ya Serikali

Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Bungeni-Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 400 na kituo kipya…

Bilioni 136.2 zimetumika urejeshaji wa miundombinu barabara na madaraja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa ajili ya kurejesha hali ya awali ya miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibiwa…