JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Jafo : Wananchi pande mbili za muungano wameunganishwa na lugha adhimu ya Kiswahili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMeda, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema miongoni mwa sababu za Muungano wa Tanzania ni udugu wa damu kati ya wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar….

Serikali yatoa milioni 216/- kuhudumia wahanga wa mafuriko Rufiji, Kibiti na Morogoro

Na Georgina Misama – MAELEZO Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi 216, 715, 516 kwa ajili ya kuhudumia wahanga wa mafuriko waliokusanyika kambi mbalimbali katika maeneo ya Rufiji na Kibiti mkoani Pwani…

Nchimbi : Serikali itamaliza kilio cha wananchi cha uhitaji wa barabara Stalike -Kibaoni Katavi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Nchimbi amesema ataongeza msukumo kwa Serikali kuhakikisha mradi wa Barabara ya Stalike – Kibaoni unaendelea na kukamilika kwa wakati kutokana ili kumaliza kilio cha wananchi wa Katavi cha uhitaji wa barabara…

Kinana apokea malalamiko ya mauaji ya wananchi Serengeti

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo ya mauaji yanayotokea katika maeneo ya hifadhi wilayani Serengeti mkoani Mara ambapo ametumia nafasi hiyo kukemea na kusisitiza hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa…

RC Mbeya atembelea Kawetele eneo kulikoporomoka mlima

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Komedi Juma Homera amefika mlima Kawetele uliopolomoka alfajiri ya leo na kusababisha kufukiwa kwa nyumba 20, ng’ombe wanne na kuharibika kwa miundombinu ya Shule ya Mary’s katika Mtaa wa Gombe…

Rais Mwinyi azindua sherehe ya miaka 60 ya muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni na huduma za jamii yameipatia nchi heshima kubwa kwenye…