Jumuiya ya Afrika Mashariki inayumba

Hali ya kutoelewana iliyopo kati ya Rwanda na Uganda, nchi mbili wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, inatishia utangamano wa jumuiya hiyo. Uhasama kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na umewahi kusababisha mapambano ya silaha kati ya majeshi yao ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Zipo tuhuma kutoka kila upande…

Read More

Huwezi kubadili hatimiliki kama una mkataba serikali za mitaa

Hapo awali niliandika  namna  sheria isivyowaruhusu viongozi  wa  serikali  za mitaa  (watendaji kata, wenyeviti wa mitaa, wajumbe, na ule uongozi wote wa huko chini) kuandaa  na  kusimamia  mauzo  na manunuzi  ya nyumba au viwanja, kwa ujumla ardhi. Nikasema kuwa kitu hicho  hakiruhusiwi  katika  sheria  na wanaofanya  hivyo wako  katika  makosa  makubwa. Asilimia kumi wanayowatoza ni…

Read More

Tuyapende mazingira

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anasema: “Dunia ni makazi yetu ya pamoja.” Mwalimu na gwiji wa theolojia wa Kanisa Katoliki, Yohane Krisostom, naye anasema: “Dunia imeumbwa na Mungu ili kumtunza mwanadamu.” Jamii yoyote ile inayopuuza mustakabali mwema wa mazingira na uumbaji wake, ni jamii isiyojijali na isiyojali hatima ya vizazi vyake. Uharibifu…

Read More

MAISHA NI MTIHANI (20)

Kujikosoa ni mtihani, unapowanyoshea wengine kidole, vitatu vinakuelekea wewe na  kidole gumba kinasema Mungu ni shahidi. Kwa msingi huu kujikosoa ni mtihani. “Si namna tunavyofanya makosa kunakotutambulisha bali namna tunavyoyasahihisha,” alisema Rachel Wolchin. Kuna kitendawili kisemacho: “Kipo lakini hukioni.” Jibu ni ‘kisogo’. Kama kisogo kipo lakini hatukioni, kuna makosa yetu yapo lakini hatuyaoni. “Macho yangu nitazame na…

Read More

Siasa zisiwagawe mama zetu

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake yalifikia kilele wiki iliyopita. Shamrashamra zilikuwa nyingi karibu maeneo yote ndani na nje ya nchi. Wanaotambua na kuthamini utu wa mwanamke, kwao hadhi ya mwanamke iko palepale muda wote. Hawasubiri siku maalumu kulitambua au kulionyesha hilo. Mkoani Geita kuna tukio lililonishawishi kuandika haya ninayoandika leo. Si jambo zuri kwa umoja…

Read More

AINA TATU ZA SWALI Elekevu, jinga na pumbavu 

Mimi naamini mazungumzo yoyote kati ya mtu na mtu (au watu) yana maana na madhumuni yake. Yanapata uimara na thamani ya maana yanapojengewa maswali yenye nguvu ya hoja na kupata majibu yaliyosheheni ukweli na usahihi. Mazungumzo, maswali na majibu hayana budi kulandana kukidhi hoja husika kati ya mtu na mtu (au watu). Mazungumzo yasipopatiwa ustahamilivu na…

Read More