Latest Posts
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -4
Katika sehemu ya tatu ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza uchanga wa vyama vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015. Leo tunaendelea…
Hivi tunavyozungumza CCM na vyama vya upinzani kila kimoja kimo katika harakati ya kupanga mipango ya kushinda uchaguzi huo. CCM itafikisha miaka 38 na baadhi ya vyama vya upinzani vitafikisha miaka 23. Hapatakuwa tena na suala la uchanga wala watoto. Labda suala la utoto!
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
EFD kuongeza mapato ya Serikali wapiga kura
Serikali imeamua kuanzisha mfumo wa uotoaji risti kwa kutumia Mashine za Kielekitroniki za Bodi (EFD). Kwa mujibu wavuti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mfumo huo unachukuwa nafasi ya mashine za rejesta za fedha ambazo zimekuwa zikitumika zamani.
Mashine hizo hazikukidhi mahitaji yaliyotarajiwa ikiwa ni pamoja na kurahisisha mauzo kwenye sehemu za biashara.
Mteja na Sayansi ya kununua
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wa gazeti hili, pamoja na wapenzi wa safu hii. Kwa takribani wiki nne sikuwapo hewani kutokana na sababu kadhaa ikiwamo kutingwa na shughuli za kiujasiriamali.
Tendulkar aaga rasmi kriketi
Mchezaji bora zaidi wa Kriketi nchini India mwishoni mwa wiki, ameaga rasmi mchezo huo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 anatarajia kumenyana na West Indies katika mchuano wa mwisho wa mashindano ya yajulikanayo kama ,Test, katika uwanja mashuhuri wa Wankhede.
Habari mpya
- NMB, UDSM kufungua fursa za kibiashara kwa wabunifu vijana
- ‘Kuripoti kwenye mitandao ya kijamii huchelewesha msaada, tumia app’
- Nyongo : Pwani yapokea trilioni 1.65 kwa miradi ya maendeleo
- Spika Zungu akutana na Spika wa Bunge la Czesh
- Waislamu kuwazidi Wakristo duniani ikifika mwaka 2035
- THRDC na utata hukumu ya Lissu
- Zuio viboko lazua mgogoro
- Majahili wavamia Msitu wa Korogwe
- CCM, CHADEMA mkiamua tunatoka
- Bangi yalimwa ndani ya nyumba
- Matumaini
- Soma Gazeti la Jamhuri la Novemba 24 -30, 2026
- Salome : Wananchi milioni 1.7 kunufaika na umeme kila mwaka kupitia ushirikiano wa TANESCO na CRDB
- EWURA yakutanisha wadau kujadili usalama na uendelezaji sekta ya gesi asilia
- Dk. Chaya atembelea uwekezaji kiwanda cha kuchakata maziwa cha ASAS Iringa