JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kuelekea mwaka mpya 2026, REA yawakumbuka wenye mahitaji

Kuelekea Mwaka Mpya 2026, Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewagusa Watanzania wenye mahitaji mbalimbali kwa kutoa mkono wa faraja na kuwatakia heri ya mwaka Mpya ujao. Zoezi la kuwapatia mahitaji walemavu limeongozwa na Bi. Judith Abdalah kwa niaba ya Mkurugenzi…

TIB yaagizwa kuhakikisha inachagiza ukuaji wa maendeleo ya uchumi wa taifa

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameiagiza Benki ya Maendeleo ya TIB kuimarisha zaidi mifumo yake ya uendeshaji ili iweze kufikia malengo yake ya kuisaidia Serikali kutekeleza Dira ya Taifa ya…

Mafunzo ufuatiliaji, tathmini kuongeza tija utekelezaji wa mipango ya wizara

Na Augustina Makoye, WMJJWM – Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Daktari Hango amesema mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yatawasaidia Maafisa viungo wa ufuatiliaji na tathmini kuelewa kwa…

Serikali yaanza rasmi mchakato wa kuboresha sheria ya elimu

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imepokea taarifa ya awali ya Kamati ya Mapitio ya Sheria ya Elimu, Sura ya 353. Akizungumza Dodoma, Desemba 30, 2025 katika kikao cha Kisekta cha…

Wawili wafariki kwa kupigwa na radi Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia,Tabora WATU wawili wamepoteza maisha kwa kupigwa na radi wakiwa wamejikinga mvua kwenye kibaraza cha nyumba yao iliyoegemewa na mti katika Kijiji cha Songambele, Kata ya Uyowa, Wilayani Kaliua Mkoani hapa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani…