Latest Posts
Tanzania, Slovakia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa kidiplomasia
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Aprili 13, 2026, amefanya mazungumzo na Balozi wa Slovakia nchini, Mhe. Ivan Lančarič, katika ofisi yake iliyopo Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia…
Mchengerwa aongoza timu ya Tanzania Mkutano wa 59 wa Kamisheni ya Idadi ya Watu na Maendeleo Marekani
Na John Mapepele, New York -Marekani Waziri wa Afya Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ameongoza timu ya Tanzania katika Mkutano wa 59 wa Kamisheni ya Idadi ya Watu na Maendeleo unaofanyika New York Nchini Marekani. Mhe. Mchengerwa amesema Mkutano huo ambao umeanza…
Prof. Mkenda atangaza fursa za ufadhili kwa programu za uzamili katika sayansi na akili unde data
▪︎ Asisitiza Vijana kuomba udahili na ufadhili* ▪︎ Asisitiza Uwazi na Ushindani* Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza rasmi kutolewa kwa ufadhili kupitia Samia Scholarship Exender AI/DS wa masomo ya Uzamili (Masters) katika Sayansi ya Data,…
Vijana kuwania kitita cha milion 50/- shindano la ‘Vijana Uchumi Challenge’
Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana,Dk. Joel Nanauka, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi na kuwa tayari kushiriki shindano jipya la kitaifa la “Vijana Uchumi Challenge.” Akizungumza na Waandishi…
Naibu Waziri Regina Ndege awajengea uwezo askari wanawake Manyara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Manyara Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Regina Ndege amewataka askari wanawake wa vyombo vya ulinzi na usalama wa mkoa wa Manyara, kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi…





