Makala

Hatua za kutoa mzigo bandarini

Kutokana na uchumi wa viwanda unaoendelea kukua nchini, idadi ya wafanyabiashara wanaoagiza malighafi na mizigo kutoka nje kuja Tanzania inazidi kuongezeka.  Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeliona hili na inaendelea kuboresha huduma zake kuhakikisha wafanyabiashara wanaagiza malighafi na…
Soma zaidi...