Latest Posts
Hekta 469,000 za misitu hupotea kila mwaka
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki amesema kuwa takwimu za sasa zinaonesha kuwa takribani eneo la misitu lenye ukubwa wa hekta 469,000 kila mwaka linapotea nchini. Amesema ni muhimu pia kwa wadau…
Yanga VS CR Belouizdad ni Paccome day
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad, afisa habari wa Yanga, Ali Kamwe ameitangaza siku hiyo kuwa maalum kwa mchezaji Paccome Zouzoua ‘Paccome Day’. Mchezo huo wa kundi…
Serikali, Benki ya Dunia wakutana kujadili mradi wa Tanzania ya Kidijitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia-WB, wanaendelea na majadiliano ya namna ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidijitali, ambapo wataalam kutoka katika Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Ofisi ya Rais,…
Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School…
LHRC yaitaka serikali kuchukua hatua kukatika umeme
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana ndani ya muda mfupi. Pia kimetoa wito kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupanga…
Kiduku: Mwakinyo anataka bilioni tupigane
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati mashabiki na wadau wa mchezo wa ngumi nchini wakiendelea kushinikiza kutaka pambano kati ya mabondia Twaha Kiduku na Hassan Mwakinyo liandaliwe ili kumaliza utata wa nani ni bingwa wa mwenzake, Kiduku ameibuka…





