Latest Posts
Mndolwa akagua bwawa la ujenzi Mkomanzi, ujenzi wafikia asilimia 85
*Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro,…
Meya Kibaha KIBAHA aitaka DAWASA Kibaha kuacha kigugumizi, utatuzi kero ya maji Viziwaziwa
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Kibaha MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Nicas Mawazo, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) , Kibaha kuacha kigugumizi na kutoa majibu kuhusu kero ya muda mrefu ya ukosefu wa…
EWURA, TRA kuimarisha ushirikiano
Watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na wenzao wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo 23 Desemba 2025, wamekutana na kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano wa utendaji hususani katika usimamizi wa masuala ya kikodi…
DC Mpogolo: Ilala wanafanyakazi kwa umoja na mshikamano
Na Heri Shaaban, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo, amesema Wilaya ya Ilala, wanafanya kazi kwa umoja na mshikamano Watendaji wa Halmashauri hiyo pamoja na Wabunge wa vyama vyote siasa katika kumsaidia Rais wa Jamhuri ya…
Serikali kuanzisha jukwaa la kidigitali kwa vijana
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Maendeleo ya Vijana imeazimia kuanzisha jukwaa la kidijitali la huduma jumuishi (youth digital one stop platform) ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa za ajira, mafunzo, fursa za mikopo, masoko, na huduma nyingine…





