JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndejembi : Gharama za umeme hazijapanda kwa miaka 10

Lengo ni Wananchi wamudu gharama za matumizi ya umeme Na Mwandishi Wetu, Dodoma Licha ya kuongezeka kwa gharama za vifaa vya umeme ikiwemo nguzo, waya na mita, Serikali imeendelea kuhakikisha gharama za matumizi ya umeme kwa wananchi hazipandi kwa kipindi…

TRA :Makampuni 300 kuunganishwa na mfumo wa IDRAS

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema zaidi ya makampuni 300 yataunganishwa na mfumo wa mfumo wa kisasa wa usimamizi wa kodi za ndani ujulikanao kama “Integrated Domestic Revenue Administration System (IDRAS)” na kutatua kero mbalimbali…

Ulaya ‘imejiandaa kuchukua hatua kwa dharura’ kuhusu Greenland – EU

Mkuu waTume ya Ulaya, Ursula von der Leyen anasema akiwa Davos kuwa Ulaya imejipanga kukabiliana na Trump kuhusu azimio la Trump kudhibiti Greenland. Siku ya Jumanne, Rais wa Ufaransa Macron alisema EU inaweza kuzingatia chaguzi kadhaa za kulipiza kisasi ikiwa…

Afya ya mwanasiasa mkongwe Kizza Besigye yazidi kuwa mbaya

Afya ya mwanasiasa mkongwe wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye “imefikia hali mbaya na mbaya”, chama chake kinasema, baada ya kupelekwa kwenye kituo cha matibabu katika mji mkuu, Kampala. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 69 alikimbizwa katika kituo cha…

Watu 114 wafariki, miundombinu yaharibiwa kwa mafuriko Msumbiji

Watu wasiopunguwa 114 wamefariki na uharibifu mkubwa wa mali umeripotiwa huku baadhi ya vijiji vikifunikwa kabisa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Msumbiji. Timu ya waokoaji nchini Msumbiji inaendelea kutafuta watu walionusurika baada ya mafuriko mabaya  kuwahi kuikumba nchi…

Tanzania, Marekani kushirikiana kukuza teknolojia na utafiti wa madini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Tanzania na Marekani zimeeleza dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu katika sekta ya teknolojia na madini, hususan katika utafiti wa Madini ya Kinywe, wakibainisha kuwa ushirikiano huo utanufaisha pande zote mbili kiuchumi na kiteknolojia….