Latest Posts
Watu 25 wafariki kwa kufukiwa na mgodi Shinyanga, watatu waokolewa
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Watu 25 wanahofiwa kufukiwa kwenye mashimo waliyokuwa wakichimba dhahabu kwenye mgodi wa Nyandolwa katika Kijiji cha Mwongozo Kata ya Mwenge Halmashauri ya Wilaya Shinyanga. Mmiliki wa mgodi huo, Fikiri Mnwagi alisema hayo wakati akitoa taarifa kwa kamati ya ulinzi wa…
‘Betting’ yaingiza bilioni 260.1, Bodi yasema ni michezo ya burudani
*GBT yasema burudika kwa kiasi, ukishiriki sana utaingia kwenye uraibu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), Daniel Ole Sumayan, amesisitiza umuhimu wa waendesha michezo hiyo kuzingatia matakwa ya kisheria ili…
Zanzibar yachota uzoefu Dodoma, yajiandaa kujenga mji wa Serikali Kisakasaka
Kamati ya wataalamu kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiingozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Dkt. Islam Seif Salum imetembelea miradi mikubwa jijini Dodoma ikiwemo Mji wa Serikali Mtumba na Uwanja wa Ndege wa…
Rais Donald Trump aombwa kulinda usalama wa Ulaya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemuomba rais wa Marekani Donald Trump kulinda usalama wao katika mkutano wake wa kilele na Rais wa Urusi Vladimir Putin unaotarajiwa kufanyika baadae wiki hii kujadili vita vya Ukraine. Viongozi hao wanataka kuwa na ushawishi…





