Latest Posts
Balozi wa Tanzania Comoro akutana na mwanamuziki mashuhuri ‘La Diva’
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Umoja wa Visiwa vya Comoro, Mheshimiwa Balozi Saidi Yakubu, amekutana na mwanamuziki mashuhuri nchini Comoro, Samra Athoumani maarufu kama “La Diva”, ambaye alitembelea Ubalozi wa Tanzania ili kuelezea azma yake ya kushirikiana…
Ujenzi wa minara 758 wakamilika, wananchi milioni 8.5 vijijini wanufaika
Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imekamilisha ujenzi wa minara yote 758 kati ya 758, mradi mkubwa wa kimkakati uliotekelezwa kwa kipindi cha takribani miaka miwili kwa lengo la kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano…
Siku 100 za Dkt Samia Kata ya Kigogo kutekeleza ugawaji bima za afya kwa wazee
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Diwani wa kata ya Kigogo Manispaa ya Kinondoni Nasibu Limira amesema kuwa ndani ya siku 100 ya Dkt.Samia Suluhu Hassan anaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Sekta ya afya, elimu na miundombinu….
Millya atembelea kituo cha utoaji huduma kwa pamoja cha Namanga
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.) ametembelea Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja Mpakani ( One Stop Boarder Post-OSBP ) cha Namanga kilichopo mkoani Arusha Januari 24,2026. Akitembelea kituoni hapo,…





