Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Majahida kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu wakisogeza robota la pamba nyuzi iliyochambuliwa kiwandani hapo Juni 12, 2018. Robota moja la pamba nyuzi lina uzito wa kati ya kilo 200 na 220. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mfanyakazi wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Majahida kilichopo Bariadi mkoani Simiyu, Kisandu Nonga akishona marobota ya pamba nyuzi iliyochambuliwa katika kiwanda hicho, Juni 12, 2018. Kila robota lina uzito wa kati ya kilo 200 na 220. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1455 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!