Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,…