RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Makthoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi ya Mfalme huyo Nchini Dubai akiendelea na ziara yake ya kiserikali katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE ).

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali. Mohamed Shein, Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, wakibadilisha mawazo na CEO na Rais Shirika la Ndege la Emirates Airline Sheikh.Ahmed Bin Saeed Al Makhtoum,baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa makaazi ya Mfame Nchini Dubai

 MFALME Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Prisedent, Prime Minister anda Ruler of Dubai, akiwa na Mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mfalme Shaikh. Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Dubai akiwa katika ziara yake katika Nchi za UAE.
 WAFANYAKAZI wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone wakiwa katika chumba maalum wakiendesha mitambo ya kielotroniki kwa kushushia na kupakilia mizigo katika Meli zinazofika katika bandari hiyo Nchini Dubai
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika  chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki, kushushia na kupakiilia mizigo katika meli

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza jambo wakati alipotembelea Bandari ya Kisasa ya Dubai ya Jebel Ali Port and Free Zone, akiwa katika chumba cha mitambo ya Kieletroniki huendesha mashine za kushushia na kupakilia makontena katika meli zinazofika katika bandari hiyo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe   Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai akitowa maelezo ya picha za muonekano wa Bandari hiyo inayotoa huduma za kupakia mizigo na kushusha wkati alipofanya ziara katika bandari hiyo Nchini Dubai
 MUONEKANO wa eneo la mizigo la bandari ya Jebel Ali Port Free Zone Dubai hutoa huduma za kupakia na kushusha mizigo katika bandari hiyo inayotumia mitambo ya kisasa Nchini Dubai
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wake akizungumza na Wafanyabiasha wa Umoja wa Nchini za Falme za Kiarabu UAE (Business Community Chamber of Commerce Dubai) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa jengo la jumuiya hiyo Dubai.

WAFANYABIASHARA katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika kwa mazungumzo akiwa katika zuiara yake UAE

 MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar Salum Nassor Khamis, akitowa maelezo kwa Wafanyabiashara wa Umoja huo, kutoa  fursa za kuwekeza Zanzibar wakati wa Mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika Ofisi za (Business Community Chamber of Commerce Dubai ) Dubai. Kutowa fursa za uwekezaji kwa wafanya biasha wa UAE,alipokutana na Uongozi wa jumuiya hiyo.ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair
 RAIS wa Zanzibar na Mwyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai, akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Nakheel Sanjey Machand
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Kampuni ya Nakheel New City Development and Paml Jumeirah Project Dubai Sanjey Machanda wakielekea kupanda boti kutembelea ujenzi wa Mradi huo katika ufukwe wa bahari ya Dubai.
 MFANYAKAZI wa Kampuni ya Nakheel New City Development Palm  Jumeirah Project akitowa maelezo ya  picha ya Mradi huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Mradi akiwa katika boti.
 MOJA majengo katika Mradi wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai kama linavyoonekana pichani likiendelea na ujenzi wake
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Nakheel wakitembelea Mradi huo kulia Ibrahim Al Faradan na kushoto Khalid Bakhit, wakiongozana mgeni wao wakati wa kutembelea mradi huo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mjumbe wa Bodi ya Nakheel New City Development and Palm Project, Ibrahim Al Faradan, baada ya kutembelea mradi huo akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Nakheel  na ujumbe alioongozana nao wakitembelea Mradi huo kulia Ibrahim Al Faradan na kushoto Khalid Bakhit, wakiongozana mgeni wao wakati wa kutembelea mradi huo.