Tag Archives: dkt shein

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA MWANAKWEREKWE UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun Ali Suleiman na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi ...

Read More »

RAIS SHEIN AWATUNUKIA NISHANI WATU 74 ZANZIBAR

      RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74. Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa vyama na serikali pamoja na wananchi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za miaka 54 ...

Read More »

DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko jipya la Kinyasini lililojengwa na Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Januari 09, 2018 eneo la Kaskazin ‘A’ Zanzibar.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ...

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons