Tag Archives: DONALD TRUMP

Donald Trump na Vladmir Putin Kukutana Leo

  Rais wa Marekani Donald Trump na wa Urusi Vladmir Putin muda mchache ujao watakutana kwa mazungumzo, katika makazi ya Rais wa nchi hiyo mjini Helsinki, ambao ni mkutano wao wa kwanza kabisa kuwakutanisha pamoja. Mpaka sasa hakuna ajenda yoyote ya mkutano huo, ambao utahudhuriwa tu na watafsiri wao. Aidha licha ya mkutano huo kutotegemewa sana, lakini wanaweza kuonesha dalili ...

Read More »

Marekani Kufungua Ubalozi Mpya leo Mjini Jerusalem

Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump Ivanka na mumewe Jared Kushner. Wengi wa maafisa kutoka Muungano wa Ulaya hawatahudhuria. Uamuzi wa Trump wa kuhamisha ubalozi huo ...

Read More »

Trump Atishia Kujiondoa Kwenye Mazngumzo na Kim Jong-un

Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa iwapo mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un hayazai matunda ‘atainuka na kuondoka katika mazungumzo hayo’. Katika mkutano wa pamoja na vyombo vya habari, yeye na waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe walisema kuwa shinikizo dhidi ya Korea Kaskazini ni sharti iendelee kwa kukataa kusitisha utengezaji wa silaha za nyuklia. ...

Read More »

UNAJUA USAFIRI ANAOTUMIA RAIS DONALD TRUMP AKIWA MATEMBEZINI

Rais wa Marekani Donald Trump akiwa katika mazingira ya kawaida ya kikazi hutembelea gari aina ya limousine. Gari hiyo ni moja kati ya magari ghali zaidi na yenye ulinzi mkali zaidi duniani kote ulinzi wake ni pamoja na vioo vyenye nguvu ya kuzuwia risasi, milango yake ina uzito sawa na milango ya ndege aina ya boeng 747, ikiwa itatokea janga ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons