Tag Archives: TUNDU LISSU

Hizi hapa Nchi zinazofadhili Matibabu ya Tundu Lissu

Spika Job Ndugai amelieleza Bunge kuwa matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, tundu Lissu (CHADEMA) aliyeko hospitalini nchini Ubelgiji yanagharamiwa na serikali ya Ujerumani. Ndugai alisema amefahamu hilo kwa kupewa taarifa na Balozi wa Ujerumani nchini, Dkt Detlef Weacter lakini pia akataja masharti matatu yanayopaswa kusingatiwa ili Bunge ligharamie matibabu yake hayo ughaibuni. Lissu (50), anaendelea na awamu ya pii ...

Read More »

HUKUMU YA SUGU, TUNDU LISSU ATEMA CHECHE

Waheshimiwa wangu salaam kutoka Ubelgiji. Nawapeni pole nyingi kwa yaliyomkuta Mh. Sugu na Goddie Masonga siku ya leo(Jana). . Naomba kuzungumzia suala hili kwa kirefu kidogo. . Kwanza, hukumu ya leo sio mwisho wa mjadala mahakamani. Bado kuna fursa, nay haki, ya rufaa High Court na, ikibidi, Court of Appeal. . Pili, hukumu ya leo haina maana Sugu atakaa gerezani ...

Read More »

TUNDU LISSU: “ JAJI MUTUNGI NI MSAKA TONGE ANAYEJIPENDEKEZA KWA MAGUFULI ILI AENDELEE KUWA KWENYE NAFASI ALIYO NAYO”

Nimesoma barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, yenye tuhuma na vitisho vingi dhidi ya CHADEMA. Bila kutoa ushahidi wowote na kwa kutegemea taarifa za upande mmoja tu, Msajili Mutungi ameituhumu CHADEMA kwa kufanya siasa za kibabe na vurugu na kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa na Kanuni za Maadili ya Vyama vya Siasa. Msajili Mutungi anastahili ...

Read More »

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU WA UMOJA WA ULAYA (EU)

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema jana alitembeleawa na Maofisa watatu kutoka Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye juu ya masuala mbali mbali yanayoihusu Tanzania. Tundu Lissu amesema kuwa Ujumbe wa EU umeongozwa na Mkuu wa Idara ya Pembe ya Afrika na Afrika Mashariki ...

Read More »

MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU

  Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.

Read More »

HAYA HAPA YATAKAYOMPELEKA TUNDU LISSU THE HUAGE UHOLANZI

Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amsemema kwamba anatarajia kumfikisha mahakamani Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kufuatia kauli zake za uongo alizozitoa na kuchafua taswira ya Tanzania. Cyprian ameyasema hayo leo Januari 15 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza kwamba, yeye na wanasheria watamfungulia mashtaka mbunge huyo. ...

Read More »

LISSU AANZA MAZOEZI UBELGIJI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo ameanza kufanya mazoezi ya viungo huko Hospital anapotibiwa  inchini Ubelgiji

Read More »

Mandhari ya Hospitali Anapotibiwa Tundu Lissu

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza kufundisha mwaka 1426.

Read More »

TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU

Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu suala la Mheshimiwa Lowasa. Baada ya Mwenyekiti kuzungumzia jambo hili, inaelekea kuwa wazi kwamba Mheshimiwa Lowassa hakumshirikisha Mwenyekiti kabla ya ...

Read More »

TUNDU LISSU AWASILI NCHINI UBELGIJI KWA MATIBABU

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amewasili jijini Brussels, nchini Ubelgiji alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi na mazoezi ya viungo. Jana aliondoka katika Hospitali ya Nairobi alikolazwa kwa takribani miezi minne akipatiwa matibabu.

Read More »

Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji

Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi saa 2:30 asubuhi na kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi. Lissu amepelekwa na Ndege ya Shirika la Kenya akiambatana na ...

Read More »

TUNDU LISSU: JAMII YA KIMATAIFA INGILIENI KATI JAMAANI

Mbunge wa Singida Mashariki wa Chadema, Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa kuwakandamiza wapinzani. Amesema anaamini shambulio dhidi yake lililenga kumnyamazisha kutokana na uokosoaji wake wa mara kwa mara wa ...

Read More »

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa moja kwa moja “Political Assassination”. Lissu ameeleza kuwa risasi 16 zilimpiga mwilini mwake huku risasi nane zikitolewa Dodoma na risasi ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons