Tag archives for UN
Marekani yajitoa katika baraza la Umoja wa Mataifa la haki za binaadamu
Marekani imejitoa katika baraza la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa na kulitaja kuwa na 'unafiki wa kisiasa na lenye upendeleo'. "Taasisi hiyo ya "unafiki na upendeleo inakejeli haki za binaadamu", amesema mjumbe wa Marekani katika Umoja huo Nikki…
UMOJA WA MATAIFA WALAANI MAUAJI YA RAIA YANAYOFANYWA NA MAJESHI YA SAUDI ARABIA NA WASHIRIKA WAKE NCHINI YEMEN
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo 54 katika soko lenye shughuli nyingi na 14 wa familia moja waliokuwa shambani. Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa…
UN Yakutana Kumjadili Trump
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeombwa kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Telaviv hadi Jerusalem. Maamuzi hayo yalisababisha maandamano makubwa yaliyosababisha watu 17 kujeruhiwa kwa risasi na…
WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA
Baadhi ya washiriki wa Ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Ofisi hiyo eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba…
Kamati ya UN Kutetea Haki za Wapalestina Yazungumza na Waziri Dk. Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Senegal katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea haki za msingi za Wapalestina, Mr. Fode Seck (kulia) pamoja na Wajumbe…