Tag Archives: uvccm

MWENYEKITI UVCCM MKOA PWANI AWATAKA VIJANA KUKITUMIKIA CHAMA KIPATE USHINDI WA KISHINDO MWAKA 2019/2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Seleman Makwiro (katikati) akizungumza na viongozi na wajumbe chama hicho wa Wilaya ya Mafia mkoani Pwani leo,Kiongozi huyo yupo katika ziara ya kutembelea jumuiya za umoja wa vijana wa Mkoa huo. Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mafia,Amina Tuki wengine kulia ni Mjumbe wa Baraza Kuu ...

Read More »

MWENYEKITI MPYA WA UVCCM AWASILI RASMI OFISINI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana  wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga Leo.  Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Taifa Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kwanza kushoto)akimtambulisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha ...

Read More »

KHERI JAMES: RAIS MAGUFULI AMEAMUA KUSAFISHA NYUMBA HAKUNA MENDE ATAKAYEBAKI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa Ndg Kheri Denice James akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mndarara kilichopo Kata ya Ngaranaibor wakati wa ziara ya kikazi Wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kampeni za Ubunge katika Jimbo la Longido. Picha Zote Na Mathias Canal Mwenyekiti wa Umoja ...

Read More »

SHAKA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM SINGIDA KASKAZINI LEO

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka (Kulia) Akipeana mkono na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Ndg:Peter Monko  Alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida leo. Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akisain kitabu cha wageni  katika Ofisi za CCM Mkoa wa ...

Read More »

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA

Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akiteta jambo na Mwenyekiti wa ...

Read More »

UWT ‘Ilivyomkuna’ JPM Wakati UVCCM Ikimsononesha

Mikutano ya uchaguzi kwa jumuiya mbili za Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanyika mkoani Dodoma wiki iliyopita, yote ikihutubiwa na Mwenyekiti wake, Rais John Magufuli. Jumuiya ya Wanawake (UWT) ikafanya mkutano wa uchaguzi uliomchagua Gaudencia Kabaka kuwa Mwenyekiti, wakati Kheri James akichaguliwa kuiongoza Jumuiya ya Vijana (UV-CCM).     Hata hivyo, mkutano wa UWT ndiyo uliodhihirika kumfurahisha zaidi Rais Magufuli, ambaye hakuficha ...

Read More »

Tuhuma za Rushwa Zamkuta Mwenyekiti UVCCM Dodoma

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis kwa tuhuma za kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi. UVCCM leo Jumapili Desemba 10,2017 inachagua viongozi wapya wa ngazi ya Taifa watakaoongoza jumuiya hiyo ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano. Sadifa ambaye pia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons