Tujenge Uzalendo Kupitia Uchumi

Wiki iliyopita nchi yetu imesherehekea miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wakati tunapambana kupata uhuru, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyeongoza harakati hizo, alisema nchi yetu ilikuwa inapambana na maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Na alisema ili nchi ipate mafanikio inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Ukipima kigezo cha siasa za…

Read More

Hakuna Uzalendo wa Hiari

Namwona Deodatus Balile kwenye Malumbano ya Hoja (ITV). Anajitahidi kueleza, lakini inshangaza sana baadhi ya wasemaji kunadi kuwa uzalendo ni suala la hiari!  Heee, ajabu sana! Uzalendo unajengwa tena kwa gharama kubwa -tutake tusitake- siyo suala la mtu kuzaliwa na kusema kwa hiari yake atakuwa mzalendo no way. Watawala wanatakiwa kufanya kazi ya ziada kujenga…

Read More