Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia

 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700 wakibaliashana hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700 wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba

  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares akizungumza wakati wa utiliaji saini wa makubaliano hayo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza wakati wa utiliaji saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa maji wilayani Lushoto kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares
Mkandarasi Justice Kato  kutoka Kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto ambao utagharimu milioni 700 akizungumza katika wa utiliaji saini wa makubaliano ya mkataba halfa iliyofanyika mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafiri wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Aram Phares kushoto ni Mkandarasi wa ambaye atatekeleza Mradi wa Maji wilayani Lushoto kutoka kampuni ya Juin Company Limited  Civili&Building Contractors Justice Kato

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi kulia akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares

5849 Total Views 8 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!