Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha.

Kisanga aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa, pia alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kabla ya kustaafu mwaka 2008.

R.I.P Jaji Kisanga.

1546 Total Views 4 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!