TUNDU LISSU AKAA MWENYEWE PASIPO MSAADA WA DAKTARI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa Daktari katika Hospital ya Nairobi anapopatiwa matibabu , baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani Area D mjini Dodoma.

Hali yake inazidi kumarika siku baada ya siku, ambapo siku mbili zilizopita tulishuhudia pia kwa mara ya kwanza aliweza kutembea.

1246 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons